MWANAMKE ANAPENDA AONE UNAMTAMBULISHA KWA JAMII
Kila mwanamke anaempenda mume wake na kuwa na malengo mema nae mara nyingi hupenda mumewe aitambulishe jamii inayomzunguka kuwa yeye ndiye mke wake.Kwa maana hiyo siyo mbaya kujumuika na mkeo katika matukio ya furaha kama harusi na sherehe mbalimbali na ukipata nafasi ya kusema basi mtaje na ikiwezekana msimamishe watu wamuone.Kufanya hivyo ni kumtia moyo mke na kumfanya awe na kuvu ya kusonga mbele mkiwa pamoja


Comments
Post a Comment