MWANAMKE KUWA MKAVU SEHEMU ZA UZAZI WAKATI WA TENDO NI HATARI SANA
Habari tena wapenzi wa elimu ya ndoa na mahusiano.Mada yetu ni hii je kuwa na hali ya ukavu kwa mwanamke wakati wa tendo la ndoa ni kawaida au ni tatizo .Kiukweli hali hii siyo kawaida japo watu wengi huisifia hali hii.Mungu kila alichokifanya kilikuwa chema tena kilikuwa salama.Ili mwanamke aingliwe yapasa maandalizi ya kina na hili halina muda maalumu maana wanawake wanatofautiana kisaikolojia,wengine akimuona tu mwanaume anakuwa tayari kajiandaa wengine akiguswa tu na kuhisi joto tayari ametaka,imagine mpaka aone sehemu za siri za mwenzi wake. Wengine mpaka akumbatiwe,wengine mpaka apapaswe matiti,makalio,kiuno na sehemu za siri.Na wale walio wa haraka kutaka huduma ukimchelewesha atajimalizia peke yake haja ya huduma ya ndoa na wachelewaji ukiwahi utamkuta bado hajajiandaa na unaweza kumkela na kumsababishia maumivu na kumuathili kisaikolojia.Kijulisho cha kwamba sasa tayari naweza kuanza kazi ni kuvujia vitu laini kama ute wa yai katika sehemu za siri za mwenzi wako ute huu humfanya mwanamke asiuhisi ugumu unaopatikana kindi jembe lako likiwa na hasira ya kulima barabara na kumfanya ahisi kutekenywa na kumpa raha na kusahau shida za dunia kwa muda .Lakini pia kama mpenzi wako huwa anatokwa na maji maji mengi zaidi na kukufanya uzidiwe na utelezi chukua kitambaa laini na mfute na kazi iendelee maana wanawake wengi wakimaliza hutoa manii mengi kama ya wanaume sema yao huwa mepesi .Ukiona mkeo ana hali ya kuchelewa au kutojiandaa kabisa tuwasiliane na atarudi tu katika hali yake inayotakiwa Mungu atuongoze kwa hili maana tunataka familia zenye furaha na amani karibu pia katika mada za mafundisho kabo ya ndoa


Comments
Post a Comment