HASARA YA KUOWA WANAWAKE ZAIDI YA MMOJA

Ndoa bora ni ndoa ya mke mmoja na mume mmoja.Wanadamu hasa wanaume wamekuwa na tamaa iliyokithili na hufikia hatua ya kuowa wanawake zaidi ya mmoja na ukizingumza nao watakupa sababu nyingi lakini ukichunguza sababu zote utakuta hazina maana yoyote ya kuhalalisha jambo hilo.Baadhi ya wanaume hudai kuwa huowa kwa sababu wananguvu nyingi za kuweza kushiriki tendo la ndoa hivyo huamua kuowa ili kuwapumzisha wake zao mikiki ili wawe na afya tele .Mwanamke alie na afya ya kawaida anaweza kushiriki tendo la ndoa masaa karibia 15.5 kwa siku yenye masaa 24 na wala hatadhulika chochote ilimradi ele anywe na kuoga kitu ambacho mwanaume hawezi.Mungu alimuwekea mwanaume kiumbe kinachomtosha kabisa sasa kuowa kwa kigezo hicho ni uongo.


Kuna hasara nyingi kuowa wanawake wawili maana kila mmoja ataishi kwa kujihami na atajilimbikizia mali upande wake.Hatakuthamini au kukuhurumia ulalamikapo kwa dhiki au changamoto yeyote.Hakuna Mwanamke atakaye kuamini.Watakidai kukuthamini wakitarajia kuwa utakuwa upande fulani.Unaweza kufa kwa kulishwa madawa yanayodhaniwa kuwa ni ya mvuto na kumbe inaweza kuwa sumu.Kuna asilimia kubwa wanawake zako kuchepuka na kukuletea magonjwa.Kuna asilimia kubwa ya kuuawa ili wachukue mali na waolewe na mwanaume asiye na mke ili wawe huru .Ndoa za wanawake wawili ni gereza na kila mmoja hutafuta nguvu ili atoke akapumue nje .Chukua tafadhali ewe mwanaume ridhika na mmoja utafurahia uhuru

Comments

Popular Posts