Aina kadhaa za kuwashwa sehemu za siri
Imeandaliwa Jackson kuhenda kwa nini mwanamke atakuwa anawashwa kila mara sehemu za siri hasa wanawake 1 sehemu hii huwashwa kutokana na kuchubuka baada ya msuguano wakati wa tendo. Hii mara nyingi hutokana na mwanamke kufanya tendo na mwanaume mwenye umbo kubwa nene kuliko njia yake ilivyo na akisuguliwa mpaka kukauka ule unyevunyevu basi uchubuka au kuchubuka na mara unapotokea unyevu basi husababisha kuwasha lkn pia fangasi husababisha kuwasha uti virus pia nao huleta muwasha na maumivu pia, lkn pia magonjwa ya zinaa nk hivyo zipo dawa kwa hayo yote. Pia zingatia kwenda kupima wasiriana nami pia 0762220045 0784084000 pia whatsapp ukurasa wetu pia Facebook na group karibu wote


Comments
Post a Comment