NAMNA YA KUMTULIZA MWANAUME

Mwanaume ni kiumbe mzuri sana kwa mwanamke mwenye busara na hekima.Mwanamke mwenye akili hujua kuolewa siyo utumwa bali ni ushirikiano wa pamoja kujenga mji na kushirikiana kujenga maisha yawe bora kwa jitihada za pamoja.Katika ushirikiano siri kuwa ni kumsoma mwenzio kujua lipi anapenda na lipi hapendi,ukishajua basi unaweza kuendana nae.Kama mwanaume ni mkorofi lazima ujue kuwa ukorofi wake unasababishwa na nini na uepukane nae vipi.Kuna wakati unatakiwa kumhurumia kutokana alivyo na kumsaidia kama imawezekana.Usimkomoe mumeo maana akigundua atakuchukia ,usimdhalau waziwazi,hata kama anastahili kudhalauliwa.Mfichie siri mumeo na muombee mema atakupenda.

Comments

Popular Posts