Furaha iliyo kuu duniani ni ipi?
Hakika duniani kuna furaha za aina nyingi ,mf pesa ,gari, nyumba, kazi na vingine vingi hizi zote zaweza kumpa mwanadamu furaha na kujisikia kuwa yuko safi hapa duniani lakini anapopata hizo pesa lazima anataka aburudike mf wengine huenda bar kunywa vileo kula nyama kucheka na marafiki ikiwezekana kupiga story na mengine mengi ,lakini je furaha imekamilika ? Jibu ni hapana .kwanini hapana ,sababu ni kuwa mwanamme bila mwanamke ,au mwanamke bila mwanaume hajakamilika .Baada ya kufanya yote mwanadamu hurudi na kumtafuta mwenzi wake wa moyo,na kama hana basi hutamani ampate na wakati mwingine kwa sababu mwanadamu akimhitaji mwenzi huwa kuna sehemu mwilini huanza kushabikia na kuusukuma mwili na akili huanza kuchanganyikana na anaweza kumchukua yeyote kuutuliza mwili usiisumbue akili na atulie baadae .Hii elimu ni ngumu sana na inawashinda watu maana mtu aweza kuchukua mwanamke ambae wamekutana leo leo tu na kwa sababu ya msukumo wa tamaa ya mwili basi akamuondolea tofauti zote yule kiumbe na mwanamke kazalika huchanganyikiwa atakapo mwenzi .Mpaka hapo nafikili umefahamu baadhi ya vitu vimpavyo mwanadamu furaha karibu chapisho jingine tujifunze mambo ya ndani ndani


Comments
Post a Comment