Hii ndiyo njia halisi ya kupata ushauri halisi
Mgogoro wa ndoa ni mada ngumu kuisuruhisha kwa mtu wa kati lkn husuluhishwa na wao wanandoa.Mshauri yeye hushauri tu kuwapa wazo wanandoa ili walikubali au walikatae. Hivyo mshauri mara nyingi siyo mwamuzi bali huwa ni mshawishi kwa wanandoa ili walikubali wazo lake. Taadhali ni kuwa hakikisha unamkalibia mshauri mwenye hakima na mwenye mawazo thabiti yanayojenga yanayomfanya mtu atafakali kuwa yeye ni nani na anatakiwa afanye jambo lenye faida hata kwa jamii ya wanaomzunguka yaani wamuone kuwa ni shujaa wa ndoa.Anaejitambua na kuepuka vishawishi vyovyote mf maisha mazuri, mpenzi mwenye mwonekano au maarufu huku akiivunja heshima yake mbele za Mungu na wanadamu. Pia unapotafuta mshauri usitafute yule mwenye kufuata upepo kama bendera bali tafuta anaesimamia ukweli na wewe uwe tayari kupokea chochote hata kama si furaha ya moyo wako. Mara nyingi usitafute alie rafiki yako mfanyakazi mwenzio bali tafuta mtu msie na mahusiano yoyote ili akupe ukweli unaojenga Asante waweza kuwasiliana basi kwa 0784084000 0762220045 mambo ya ndani na mafundisho ya ndoa na uchumba Facebook group na ukurasa karibu


Comments
Post a Comment