TIMIZA HAJA YA MWENZIO

Upungufu wa kinga mwilini,husababishwa na mtu kutokula vyakula bora,au mlo kamili inawezekana mtu hali vyakula vya kujenga,na kulinda mwili,ninaposema vyakula vya kujenga na kulinda mwili jua namaanisha vyakula ambavyo ni mlo kamili mfano wanga ugali, mihogo, Bali, ndizi, magimbi, viazi na vitu vya ngano nk. Mboga mboga, mchicha kisamvu na mboga za majani kwa ujumla.protin mayai nk. Mafuta mfano karanga ufuta alzeti na vitu vyenye asili ya Mafuta kama maziwa ambayo hutoa siagi.Matunda asili kama mapapai. Mananasi mapeazi makomamanga limau machungwa na  na kulamengine maharagwe mengine mengi.Kutokula ugali wa unga wa dona,ni hatari kwani mwili unaukosesha viini lishe ambavyo huijenga afya na kuunda kinga mwilini.Ukiwa na upungufu,basi itakuwa rahisi kwako kuambukizwa na magonjwa.Anza leo kula vyakula vya kujenga na kulinda mwili, ili kukinga mwili wako .Kwa nini tunahimiza kula vyakula bora au mlo kamili lengo letu uwe na afya nzuri na uwe na nguvu tele kwa ajili ya kufurahia ndoa kwa kumtimizia haja yake mwenzi wako .Kumbuka kuwa ukiwa mgonjwa huwa hamna furaha na inaweza ikakufanya usiwe na hamu ya tendo la ndoa.0755084000 0784084000 bonyeza hapawhatsapp

Comments

Popular Posts