MISINGI YA NDOA NI HII


 Ndoa inamisingi yake na leo nitazungumzia baadhi ya misingi hiyo (1).Mungu .Mungu ni namba moja kwa sababu yeye ndiye muumbaji wa ndoa.Alimuumba mwanamke akiwa na mahitaji yote ambayo mwanaume hana na anayahitaji . Mfano wa mahitaji hayo ni tumbo la kulelea mtoto kabla ya 

kuzaliwa.Njia ya kupitia mtoto wakati wa kuzaliwa na wakati wa kuingia.Mwanaume nae aliumbwa kwa kuwekewa kitu ambacho mwanamke hana mfano mbegu na mlija wa kupitishia mbegu kuingia tumboni nk.Mungu aliumba kila kitu ili wanandoa waweze kuzaliana na kuwatunza wazaliwa na kuwapatia mahitaji yao ya kila siku wakisaidiwa na Mungu kwa mibaraka.

Ndoa imekuwa na adui ambaye ni Shetani na mapepo na ushirikina wote,lakini Mungu bado ni mlinzi na msaada wa karibu(2)UTII.Utii lazima uwe kwenye maelekezo ya muasisi wa ndoa yaani kisha kwa mke.Mke anatakiwa amheshimu na kumtii mumewe katika Bwana.Yaani amtii katika mambo mema na amushauri kuacha njia mbaya kwa upendo wa kutakiana heri na maisha bora ya umoja Usikose kufuatilia msingi wa tatu.

Comments

Popular Posts