Sababu ya vijana wengi kuogopa kuowa
Vijana wengi wanasumbuliwa na (1)Hofu.wengi wao wanaogopa majukumu wanapiga hesabu kuwa ikiwa wao wenyewe,wakati mwingine wanakosa hapa pesa ya vocha je itakuwaje wakiwa na familia.Wako sahihi kwa fikra hiyo na ndiyo ukweli.Kuhofu siyo suluhu ya jambo mwanaume kamili ni yule aliye tayari kupigania malengo yake .Hebu tujiulize ikiwa tutashindwa tungali vijana na tuna nguvu je tutafanyaje baadae ,najua kuwa kila muda uendapo na na ndivyo tunaelekea uzeeni ,uzeeni ndiko wanasema ni fainali,je tuendelee kuhofu na kuikaribia fainali au tufanye kungali bado mchana.Tukumbuke kuwa ndoa ni chachu ya maendeleo na ni kichocheo cha ujasili kuyafikia mafanikio .Kuhofu bila kuchukua hatua ni kosa na mfano wake ni makosa ya jinai .Kwa sisi tunaoishi kwa imani tunaamini kuwa Mungu ndiye mtoaji wa vyote na humpa yeyote haijalishi kuwa ni mwema au mwovu hapo tunaamini pia kuwa ukitenda wema utavuna wema na ukitenda dhambi utapewa adhabu yake.Wengine ni kuwa na malengo tofauti na ndoa ,watu hao huwa wamejiwekea malengo makubwa na kuondoa ndoa katika vipaumbele katika malengo hayo makubwa na ya muda mrefu.Utakuta mtu anafikisha miaka hamsini ndo anaowa sasa fikilia unaowa na miaka hamsini je utaowa binti au Mzee mwenzio maana ukiowa binti lazima ujute maana umelazimisha kuowa mtu mwenye mtazamo tofauti na wako ,na jiulize je kama utafika miaka hamsini na hujafikia malengo je utaendelea kusubili au utaamua kuacha kuowa ama la.Kumbuka pia kuwa raha na hi


Comments
Post a Comment