Sababu ya wanawake wengi kuogopa kuzaa

 Wanawake wamekuwa na hali ya kutopenda kuzaa kwa sababu ya.(1)Kuhofia kuzeeka.Wengi wamekuwa wakidai kuwa watakapozaa watakongoloka na kuzeeka mapema.Ukweli ni kuwa kuzaa siyo sababu ya kuzeeka kama wazanivyo,uzee huletwa na umri kuwa mkubwa.Binadamu hata asipozaa lazima atazeeka tu.   Mwili kuchakaa na kuwa kama mzee husababishwa na mtu kutokula chakula bora namaanisha mchanganyiko wa vyakula ikiwemo vitamin na mafuta.Watu wengi wamekuwa wakila hovyo hovyo na wamekariri kuwa vyakula bora ni vya ghalama kubwa mfano wali,nyama na vinywaji vya viwandani kama soda ,na juice zilizosindikwa wanasahau kuwa karanga mboga za majani mboga jamii ya mikunde ,dagaa na samaki na vitu vingine vidogo vidogo aina mbalimbali za matunda.ambavyo galama yake ni ndogo kabisa.Kumbuka kwa kula vyakula bora na vya asili utakuwa na afya nzuri na sura yako itanawili na utaonekana kama kijana.Kitu kingine epuka kemikali zinazounguza ngozi yako ili ibaki salama na inayopendeza siku zote.Wengine huchakaa kwa kutokula wakibana pesa kwa ajili ya ulimbwende au majukumu yasiyo lazima ,Wengine huwa na misongo ya mawazo kwa kuhofia kuachwa ,Wivu na ugomvi wanaousababisha wenyewe kwa uchokozi usio na maana au ushahidi.Wengine huchakaa kwa kuwa na ugomvi na ndugu wa waume zao mfano mawifi na mamamkwe kitu ambacho huwapa hofu na kushindwa kula na kunywa na kusababisha shida mwilini na hata kupata magonjwa ya moyo na kufeli baadhi ya mifumo kama figo ,kibofu na vingine kama moyo.    Chakufanya zaa kwa kiasi usizae kama njiwa na uwalee wanao na ufanye kazi kwa bidii na kila siku sita za wiki na moja upumzike .Ni nzuri kuzaa pia ungali na nguvu usipende kuzaa kuelekea uzeeni ili upate muda wa kupumzika .Wanawake wamekuwa na hali ya kutopenda kuzaa kwa sababu ya.(1)Kuhofia kuzeeka.Wengi wamekuwa wakidai kuwa watakapozaa watakongoloka na kuzeeka mapema.Ukweli ni kuwa kuzaa siyo sababu ya kuzeeka kama wazanivyo,uzee huletwa na umri kuwa mkubwa.Binadamu hata asipozaa lazima atazeeka tu.   Mwili kuchakaa na kuwa kama mzee husababishwa na mtu kutokula chakula bora namaanisha mchanganyiko wa vyakula ikiwemo vitamin na mafuta.Watu wengi wamekuwa wakila hovyo hovyo na wamekariri kuwa vyakula bora ni vya ghalama kubwa mfano wali,nyama na vinywaji vya viwandani kama soda ,na juice zilizosindikwa wanasahau kuwa karanga mboga za majani mboga jamii ya mikunde ,dagaa na samaki na vitu vingine vidogo vidogo aina mbalimbali za matunda.ambavyo galama yake ni ndogo kabisa.Kumbuka kwa kula vyakula bora na vya asili utakuwa na afya nzuri na sura yako itanawili na utaonekana kama kijana.Kitu kingine epuka kemikali zinazounguza ngozi yako ili ibaki salama na inayopendeza siku zote.Wengine huchakaa kwa kutokula wakibana pesa kwa ajili ya ulimbwende au majukumu yasiyo lazima ,Wengine huwa na misongo ya mawazo kwa kuhofia kuachwa ,Wivu na ugomvi wanaousababisha wenyewe kwa uchokozi usio na maana au ushahidi.Wengine huchakaa kwa kuwa na ugomvi na ndugu wa waume zao mfano mawifi na mamamkwe kitu ambacho huwapa hofu na kushindwa kula na kunywa na kusababisha shida mwilini na hata kupata magonjwa ya moyo na kufeli baadhi ya mifumo kama figo ,kibofu na vingine kama moyo.    Chakufanya zaa kwa kiasi usizae kama njiwa na uwalee wanao na ufanye kazi kwa bidii na kila siku sita za wiki na moja upumzike .Ni nzuri kuzaa pia ungali na nguvu usipende kuzaa kuelekea uzeeni ili upate muda wa kupumzika .

Comments

Popular Posts